Al-Aaraf 7:182 والذين كذبوا باياتنا سنستدرجهم من حيث لا يعلمون ١٨٢
وَٱلَّذِينَ
كَذَّبُواْ
بِـَٔايَٰتِنَا
سَنَسۡتَدۡرِجُهُم
مِّنۡ
حَيۡثُ
لَا
يَعۡلَمُونَ
١٨٢
Na wale walio kadhibisha Ishara zetu, tutawapururia pole pole kwa namna ambayo wenyewe hawaijui 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wale ambao walizikanusha aya zetu wakazikataa na wasiwaidhike nazo, tutawafungulia milango ya riziki na njia za maisha katika ulimwengu, kwa kuwavuta kidogo kidogo mpaka wahadaike kwa yale ambayo wako nayo na waitakidi kuwa wao wako kwenye kitu cha maana, kisha tutawatesa kwa ghafla kwa namna was…
Na wale ambao walizikanusha aya zetu wakazikataa na wasiwaidhike nazo, tutawafungulia milango ya riziki na njia za maisha katika ulimwengu, kwa kuwavu…