Al-Aaraf 7:60 قال الملا من قومه انا لنراك في ضلال مبين ٦٠
قَالَ
ٱلۡمَلَأُ
مِن
قَوۡمِهِۦٓ
إِنَّا
لَنَرَىٰكَ
فِي
ضَلَٰلٖ
مُّبِينٖ
٦٠
Wale watukufu katika kaumu yake wakasema: Hakika sisi tunakuona wewe umo katika upotofu ulio dhaahiri. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mabwana wao na wakubwa wao walisema, «Sisi tunaitakidi, ewe Nūḥ, wewe uko kwenye upotevu waziwazi uko kando ya njia sawa.»