Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Aaraf 7:68

7:68
ابلغكم رسالات ربي وانا لكم ناصح امين ٦٨
أُبَلِّغُكُمْ رِسَـٰلَـٰتِ رَبِّى وَأَنَا۠ لَكُمْ نَاصِحٌ أَمِينٌ ٦٨
أُبَلِّغُكُمۡ
رِسَٰلَٰتِ
رَبِّي
وَأَنَا۠
لَكُمۡ
نَاصِحٌ
أَمِينٌ
٦٨
Nakufikishieni ujumbe wa Mola wangu Mlezi. Na mimi kwenu ni mwenye kukunasihini, muaminifu. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
«Ninawafikishia nyinyi yale ambayo Amenituma nayo Mola wangu kwenu. Na mimi kwenu, katika yale niliyowaita kwayo ya kumpwekesha Mwenyezi Mungu na kuitumia sheria Yake, ni mshauri mwenye imani, ni muaminifu juu ya wahyi wa Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka.