Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Aaraf 7:7

7:7
فلنقصن عليهم بعلم وما كنا غايبين ٧
فَلَنَقُصَّنَّ عَلَيْهِم بِعِلْمٍۢ ۖ وَمَا كُنَّا غَآئِبِينَ ٧
فَلَنَقُصَّنَّ
عَلَيۡهِم
بِعِلۡمٖۖ
وَمَا
كُنَّا
غَآئِبِينَ
٧
Tena tutawasimulia kwa ilimu; wala Sisi hatukuwa mbali . 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Tutawaelezea, tena tutawaelezea, viumbe wote yale waliyoyatenda, kutokana na ujuzi wetu wa vitendo vyao ulimwenguni katika yale tuliyowaamrisha na tuliyowakataza. Na wala hatukwa mbali na wao katika hali yoyote ile.