Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Aaraf 7:92

7:92
الذين كذبوا شعيبا كان لم يغنوا فيها الذين كذبوا شعيبا كانوا هم الخاسرين ٩٢
ٱلَّذِينَ كَذَّبُوا۟ شُعَيْبًۭا كَأَن لَّمْ يَغْنَوْا۟ فِيهَا ۚ ٱلَّذِينَ كَذَّبُوا۟ شُعَيْبًۭا كَانُوا۟ هُمُ ٱلْخَـٰسِرِينَ ٩٢
ٱلَّذِينَ
كَذَّبُواْ
شُعَيۡبٗا
كَأَن
لَّمۡ
يَغۡنَوۡاْ
فِيهَاۚ
ٱلَّذِينَ
كَذَّبُواْ
شُعَيۡبٗا
كَانُواْ
هُمُ
ٱلۡخَٰسِرِينَ
٩٢
Wale walio mkanusha Shua'ib wakawa kama kwamba hawakuwako. Walio mkanusha Shua'ib ndio walio kuwa wenye kukhasiri. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Wale ambao walimkanusha Shu'ayb walikuwa kama kwamba hawakukaa kwenye nyumba zao wala hawakustarehe humo. Kwani walimalizwa, isibaki alama yoyote yao, wakapatikana na hasara na maangamivu duniani na Akhera.