Al-Ahqaf 46:13 ان الذين قالوا ربنا الله ثم استقاموا فلا خوف عليهم ولا هم يحزنون ١٣
إِنَّ
ٱلَّذِينَ
قَالُواْ
رَبُّنَا
ٱللَّهُ
ثُمَّ
ٱسۡتَقَٰمُواْ
فَلَا
خَوۡفٌ
عَلَيۡهِمۡ
وَلَا
هُمۡ
يَحۡزَنُونَ
١٣
Hakika walio sema: Mola wetu Mlezi ni Mwenyezi Mungu; kisha wakatengenea, hawatakuwa na khofu, wala hawatahuzunika. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika wale waliosema, “Mola wetu ni Mwenyezi Mungu” kisha wakalingana sawa katika kumuamini, basi hao hawatakuwa na khofu ya babaiko la Siku ya Kiyama na vituko vyake, wala hawatasikitka juu ya hadhi za duniani walizoziacha nyuma yao
Hakika wale waliosema, “Mola wetu ni Mwenyezi Mungu” kisha wakalingana sawa katika kumuamini, basi hao hawatakuwa na khofu ya babaiko la Siku ya Kiyam…