Al-Ahzab 33:45 يا ايها النبي انا ارسلناك شاهدا ومبشرا ونذيرا ٤٥
يَٰٓأَيُّهَا
ٱلنَّبِيُّ
إِنَّآ
أَرۡسَلۡنَٰكَ
شَٰهِدٗا
وَمُبَشِّرٗا
وَنَذِيرٗا
٤٥
Ewe Nabii! Hakika Sisi tumekutuma uwe shahidi na mbashiri na mwonyaji, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ewe Nabii! Sisi tumekutumiza uwe ni shahidi juu ya ummah wako kwa kuwafikishia ujumbe, na kuwabashiria Waumini miongoni mwao rehema na Pepo, na uwe ni mwenye kuwaonya na Moto waasi na wakanushaji.
Ewe Nabii! Sisi tumekutumiza uwe ni shahidi juu ya ummah wako kwa kuwafikishia ujumbe, na kuwabashiria Waumini miongoni mwao rehema na Pepo, na uwe ni…