Al-Ahzab 33:47 وبشر المومنين بان لهم من الله فضلا كبيرا ٤٧
وَبَشِّرِ
ٱلۡمُؤۡمِنِينَ
بِأَنَّ
لَهُم
مِّنَ
ٱللَّهِ
فَضۡلٗا
كَبِيرٗا
٤٧
Na wabashirie Waumini ya kwamba wana fadhila kubwa inayo toka kwa Mwenyezi Mungu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na uwape bishara njema, ewe Nabii, watu wa Imani kuwa watakuwa na malipo makubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu, nayo ni mabustani ya Peponi.