Al-An-Am 6:72 وان اقيموا الصلاة واتقوه وهو الذي اليه تحشرون ٧٢
وَأَنۡ
أَقِيمُواْ
ٱلصَّلَوٰةَ
وَٱتَّقُوهُۚ
وَهُوَ
ٱلَّذِيٓ
إِلَيۡهِ
تُحۡشَرُونَ
٧٢
Na mshike Swala, na mcheni Yeye, na kwake Yeye ndiko mtako kusanywa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na hivyohivyo tumeamrishwa tusimamishe Swala kikamilifu, tumuogope Yeye kwa kufanya maamrisho Yake na kuepuka makatazo Yake. Na Yeye, Aliyetukuka na kuwa juu, Ndiye Ambaye Kwake Yeye watakusanywa viumbe wote Siku ya Kiyama.
Na hivyohivyo tumeamrishwa tusimamishe Swala kikamilifu, tumuogope Yeye kwa kufanya maamrisho Yake na kuepuka makatazo Yake. Na Yeye, Aliyetukuka na k…