Al-Anbiyaa 21:100 لهم فيها زفير وهم فيها لا يسمعون ١٠٠
لَهُمۡ
فِيهَا
زَفِيرٞ
وَهُمۡ
فِيهَا
لَا
يَسۡمَعُونَ
١٠٠
Lao wao humo ni kupiga mayowe, na wala hawatasikia (jenginelo). 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hawa wenye kuadhibiwa Motoni wataona uchungu unaooneshwa na mlio wa sauti zao ambapo pumzi zao zinatoka kwa nguvu sana kutoka kwenye vifua vyao. Na wao wakiwa Motoni hawasikii kwa ukali wa adhabu wanayopewa.
Hawa wenye kuadhibiwa Motoni wataona uchungu unaooneshwa na mlio wa sauti zao ambapo pumzi zao zinatoka kwa nguvu sana kutoka kwenye vifua vyao. Na wa…