Al-Anbiyaa 21:101 ان الذين سبقت لهم منا الحسنى اولايك عنها مبعدون ١٠١
إِنَّ
ٱلَّذِينَ
سَبَقَتۡ
لَهُم
مِّنَّا
ٱلۡحُسۡنَىٰٓ
أُوْلَٰٓئِكَ
عَنۡهَا
مُبۡعَدُونَ
١٠١
Ama wale ambao wema wetu umewatangulia, hao watatenganishwa na hayo. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwa hakika, wale ambao kimetangulia kwetu sisi kitangulizi chema katika ujuzi wetu kuwa watakuwa ni watu wa Peponi, hao wataepushwa na Moto, hawataungia wala hawatakuwa karibu nao.
Kwa hakika, wale ambao kimetangulia kwetu sisi kitangulizi chema katika ujuzi wetu kuwa watakuwa ni watu wa Peponi, hao wataepushwa na Moto, hawataung…