Al-Anbiyaa 21:12 فلما احسوا باسنا اذا هم منها يركضون ١٢
فَلَمَّآ
أَحَسُّواْ
بَأۡسَنَآ
إِذَا
هُم
مِّنۡهَا
يَرۡكُضُونَ
١٢
Basi walipo ihisi adhabu yetu, mara wakaanza kukimbia. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Walipoiyona, madhalimu hawa, adhabu yetu kali ikiwashukia na wakaziona ishara zake, wakitahamaki wakawa wanakimbia kwa haraka kutoka mjini mwao.