Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Anbiyaa 21:40

21:40
بل تاتيهم بغتة فتبهتهم فلا يستطيعون ردها ولا هم ينظرون ٤٠
بَلْ تَأْتِيهِم بَغْتَةًۭ فَتَبْهَتُهُمْ فَلَا يَسْتَطِيعُونَ رَدَّهَا وَلَا هُمْ يُنظَرُونَ ٤٠
بَلۡ
تَأۡتِيهِم
بَغۡتَةٗ
فَتَبۡهَتُهُمۡ
فَلَا
يَسۡتَطِيعُونَ
رَدَّهَا
وَلَا
هُمۡ
يُنظَرُونَ
٤٠
Bali utawafikia kwa ghafla, na utawashitua na wala hawataweza kuurudisha, wala hawatapewa muhula! 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Hakika Kiyama kitawajia ghafla, hapo wataduwaa na watakuwa na kicho kikubwa na hawataweza kuizuia adhabu isiwapate, na hawatapewa nafasi ya kutubia wala kutoa udhuru.