Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Anbiyaa 21:48

21:48
ولقد اتينا موسى وهارون الفرقان وضياء وذكرا للمتقين ٤٨
وَلَقَدْ ءَاتَيْنَا مُوسَىٰ وَهَـٰرُونَ ٱلْفُرْقَانَ وَضِيَآءًۭ وَذِكْرًۭا لِّلْمُتَّقِينَ ٤٨
وَلَقَدۡ
ءَاتَيۡنَا
مُوسَىٰ
وَهَٰرُونَ
ٱلۡفُرۡقَانَ
وَضِيَآءٗ
وَذِكۡرٗا
لِّلۡمُتَّقِينَ
٤٨
Na kwa yakini tuliwapa Musa na Haaruni kipambanuzi, na mwangaza, na makumbusho kwa wachamngu, 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Kwa hakika, tulimpa Mūsā na Hārūn hoja na ushindi juu ya maadui wao na pia Kitabu, nacho ni Taurati, ambacho kwacho tumepambanua baina ya ukweli na urongo, na ambacho ni nuru ambayo kwayo wanajioongoza wachamungu wenye kuogopa adhabu ya Mola wao.