Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Anbiyaa 21:50

21:50
وهاذا ذكر مبارك انزلناه افانتم له منكرون ٥٠
وَهَـٰذَا ذِكْرٌۭ مُّبَارَكٌ أَنزَلْنَـٰهُ ۚ أَفَأَنتُمْ لَهُۥ مُنكِرُونَ ٥٠
وَهَٰذَا
ذِكۡرٞ
مُّبَارَكٌ
أَنزَلۡنَٰهُۚ
أَفَأَنتُمۡ
لَهُۥ
مُنكِرُونَ
٥٠
Na haya ni makumbusho yaliyo barikiwa, tuliyo yateremsha. Basi je! Mnayakataa? 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na hii Qur’ani ambayo Mwenyezi Mungu Ameiteremsha kwa Mtume Wake Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukliye, ni ukumbusho kwa anayejikumbusha nayo na akatekeleza amri Zake na akajiepusha na makatazo Yake, ina kheri nyingi na manufaa makubwa. Je, mnaikanusha na hali ina upeo wa uwazi na ufunuzi.