Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Anbiyaa 21:64

21:64
فرجعوا الى انفسهم فقالوا انكم انتم الظالمون ٦٤
فَرَجَعُوٓا۟ إِلَىٰٓ أَنفُسِهِمْ فَقَالُوٓا۟ إِنَّكُمْ أَنتُمُ ٱلظَّـٰلِمُونَ ٦٤
فَرَجَعُوٓاْ
إِلَىٰٓ
أَنفُسِهِمۡ
فَقَالُوٓاْ
إِنَّكُمۡ
أَنتُمُ
ٱلظَّٰلِمُونَ
٦٤
Basi wakajirudi nafsi zao, wakasema: Hakika nyinyi mlikuwa madhaalimu! 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Hapo wakatahayari na ukawafunukia wazi upotevu wao, vipi wanawaabudu na ilhali wao wanashindwa kujitetea wenyewe kitu chochote wala kuwajibu mwenye kuwauliza? Na wakakubali wenyewe kuwa wamefanya udhalimu na ushirikina.