Al-Anbiyaa 21:70 وارادوا به كيدا فجعلناهم الاخسرين ٧٠
وَأَرَادُواْ
بِهِۦ
كَيۡدٗا
فَجَعَلۡنَٰهُمُ
ٱلۡأَخۡسَرِينَ
٧٠
Wao walimkusudia maovu, lakini Sisi tukawafanya wao ndio walio khasiri. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wale watu walimtakia Ibrāhīm maangamivu na Mwenyezi Mungu Akavitangua vitimbi vyao na Akawafanya wao wawe ni wenye kushindwa na kuwa chini.