Al-Anbiyaa 21:71 ونجيناه ولوطا الى الارض التي باركنا فيها للعالمين ٧١
وَنَجَّيۡنَٰهُ
وَلُوطًا
إِلَى
ٱلۡأَرۡضِ
ٱلَّتِي
بَٰرَكۡنَا
فِيهَا
لِلۡعَٰلَمِينَ
٧١
Na tukamwokoa yeye na Luut'i tukawapeleka kwenye nchi tulio ibariki kwa ajili ya walimwengu wote. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na tukamuokoa Ibrāhīm na Lūṭ ambaye alimuamini kutoka 'Irāq na tukawatoa huko hadi Shām ambako tulikubariki kwa kheri nyinygi, na huko kulikuwa na Manabaii, rehema na amani ziwashukie, wengi zaidi.
Na tukamuokoa Ibrāhīm na Lūṭ ambaye alimuamini kutoka 'Irāq na tukawatoa huko hadi Shām ambako tulikubariki kwa kheri nyinygi, na huko kulikuwa na Man…