Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Anbiyaa 21:75

21:75
وادخلناه في رحمتنا انه من الصالحين ٧٥
وَأَدْخَلْنَـٰهُ فِى رَحْمَتِنَآ ۖ إِنَّهُۥ مِنَ ٱلصَّـٰلِحِينَ ٧٥
وَأَدۡخَلۡنَٰهُ
فِي
رَحۡمَتِنَآۖ
إِنَّهُۥ
مِنَ
ٱلصَّٰلِحِينَ
٧٥
Na tukamuingiza katika rehema yetu. Hakika yeye ni miongoni mwa watenda mema. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na Mwenyezi Mungu Akamkamilishia nema, Akamtia ndani ya rehema Yake kwa kumuokoa na kile kilichowafikia watu wake kwa kuwa yeye alikuwa ni miongoni mwa wale wanaofanya matendo ya utiifu Kwake.