Al-Anfal 8:21 ولا تكونوا كالذين قالوا سمعنا وهم لا يسمعون ٢١
وَلَا
تَكُونُواْ
كَٱلَّذِينَ
قَالُواْ
سَمِعۡنَا
وَهُمۡ
لَا
يَسۡمَعُونَ
٢١
Wala msiwe kama wale wanao sema: Tumesikia, na kumbe hawasikii. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Wala msiwe, enyi Waumini, katika kwenda kinyume kwenu na Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, rehema na amani zimshukiye, ni kama washirikina na wanafiki ambao wakisikia Kitabu cha Mwenyezi Mungu kinasomwa kwao huwa wakisema, «Tumesikia kwa masikio yetu,» na hali wao kwa hakika hawayazingatii wanayoyasikia…
Wala msiwe, enyi Waumini, katika kwenda kinyume kwenu na Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, rehema na amani zimshukiye, ni kama washirikina na wanafiki amb…