Al-A’laa 87:15 وذكر اسم ربه فصلى ١٥
وَذَكَرَ
ٱسۡمَ
رَبِّهِۦ
فَصَلَّىٰ
١٥
Na akakumbuka jina la Mola wake Mlezi, na akaswali. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
na akamtaja Mwenyezi Mungu, akampwekesha, akamuomba, akafanya vitendo vya kumridhisha na akasimamisha Swala kwa nyakati zake kwa kutaka radhi za Mwenyezi Mungu na kufuata sheria Aliyoiweka.
na akamtaja Mwenyezi Mungu, akampwekesha, akamuomba, akafanya vitendo vya kumridhisha na akasimamisha Swala kwa nyakati zake kwa kutaka radhi za Mweny…