Al-A’laa 87:8 ونيسرك لليسرى ٨
وَنُيَسِّرُكَ
لِلۡيُسۡرَىٰ
٨
Na tutakusahilishia yawe mepesi. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Tutakufanyia mapesi mambo yako yote; miongoni mwayo ni kukusahilishia kubeba majukumu ya utume na kuifanya nyepesi Dini uliyokuja nayo.