Al-Balad 90:5 ايحسب ان لن يقدر عليه احد ٥
أَيَحۡسَبُ
أَن
لَّن
يَقۡدِرَ
عَلَيۡهِ
أَحَدٞ
٥
Ati anadhani hapana yeyote ataye muweza? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwani anadhani kwa mali aliyoyakusanya kuwa Mwenyezi Mungu Hatakuwa na uwezo juu yake?