Al-Baqarah 2:238 حافظوا على الصلوات والصلاة الوسطى وقوموا لله قانتين ٢٣٨
حَٰفِظُواْ
عَلَى
ٱلصَّلَوَٰتِ
وَٱلصَّلَوٰةِ
ٱلۡوُسۡطَىٰ
وَقُومُواْ
لِلَّهِ
قَٰنِتِينَ
٢٣٨
Zilindeni Swala, na khasa Swala ya katikati, na simameni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu nanyi ni wenye kuqunuti (kunyenyekea). 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Zihifadhini, enyi Waislamu, Swala tano zilizofaradhiwa kwa kudumu nazo katika kuzitekeleza kwa nyakati zake, masharuti yake, nguzo zake yanayopasa yake. Na muhufadhi swala iliyo katikati ya swala hizo, nayo ni Swala ya Alasir Na simameni katika Swala zenu hali ya kumtii Mwenyezi Mungu, kumnyenyekea …
Zihifadhini, enyi Waislamu, Swala tano zilizofaradhiwa kwa kudumu nazo katika kuzitekeleza kwa nyakati zake, masharuti yake, nguzo zake yanayopasa yak…