Al-Baqarah 2:99 ولقد انزلنا اليك ايات بينات وما يكفر بها الا الفاسقون ٩٩
وَلَقَدۡ
أَنزَلۡنَآ
إِلَيۡكَ
ءَايَٰتِۭ
بَيِّنَٰتٖۖ
وَمَا
يَكۡفُرُ
بِهَآ
إِلَّا
ٱلۡفَٰسِقُونَ
٩٩
Hakika tumekuteremshia Ishara zilizo wazi na hapana wanao zikataa ila wapotovu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika tulikuteremshia aya zilizo wazi, zinazoonyesha kuwa wewe ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kikweli; na hawazikanushi aya hizo isipokuwa wenye kutoka nje ya Dini ya Mwenyezi Mungu.
Hakika tulikuteremshia aya zilizo wazi, zinazoonyesha kuwa wewe ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kikweli; na hawazikanushi aya hizo isipokuwa wenye kutoka n…