Al-Bayyinah 98:7 ان الذين امنوا وعملوا الصالحات اولايك هم خير البرية ٧
إِنَّ
ٱلَّذِينَ
ءَامَنُواْ
وَعَمِلُواْ
ٱلصَّٰلِحَٰتِ
أُوْلَٰٓئِكَ
هُمۡ
خَيۡرُ
ٱلۡبَرِيَّةِ
٧
Hakika walio amini na wakatenda mema, hao ndio bora wa viumbe. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika wale waliomuamini Mwenyezi Mungu, wakamfuata Mtume wake na wakafanya amali njema, wao ndio bora wa viumbe.