Al-Buruj 85:19 بل الذين كفروا في تكذيب ١٩
بَلِ
ٱلَّذِينَ
كَفَرُواْ
فِي
تَكۡذِيبٖ
١٩
Lakini walio kufuru wamo katika kukadhibisha. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Bali waliokufuru waendelea kukanusha kwao, kama walivyokuwa waliokuja kabla yao.