Al-Fajr 89:14 ان ربك لبالمرصاد ١٤
إِنَّ
رَبَّكَ
لَبِٱلۡمِرۡصَادِ
١٤
Hakika Mola wako Mlezi yupo kwenye mavizio anawavizia. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Hakika Mola wako,ewe Mtume, Anamwangalia mwenye kumuasi kwa kumpa muhula kidogo, kisha Humpatiliza kwa uwezo na ushindi..