Al-Fajr 89:26 ولا يوثق وثاقه احد ٢٦
وَلَا
يُوثِقُ
وَثَاقَهُۥٓ
أَحَدٞ
٢٦
Wala hatafunga yeyote kama kufunga kwake. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na hakuna atakaye kuweza kufunga kama kifungo Chake wala kufikia hadi yake.