Al-Fajr 89:5 هل في ذالك قسم لذي حجر ٥
هَلۡ
فِي
ذَٰلِكَ
قَسَمٞ
لِّذِي
حِجۡرٍ
٥
Je! Hapana katika haya kiapo kwa mwenye akili? 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwani hakuna katika kiapo kiliyotajwa chenye kukinaisha kwa mwenye akili?