Al-Furqan 25:10 تبارك الذي ان شاء جعل لك خيرا من ذالك جنات تجري من تحتها الانهار ويجعل لك قصورا ١٠
تَبَارَكَ
ٱلَّذِيٓ
إِن
شَآءَ
جَعَلَ
لَكَ
خَيۡرٗا
مِّن
ذَٰلِكَ
جَنَّٰتٖ
تَجۡرِي
مِن
تَحۡتِهَا
ٱلۡأَنۡهَٰرُ
وَيَجۡعَل
لَّكَ
قُصُورَۢا
١٠
Ametukuka ambaye akitaka atakujaalia yaliyo bora kuliko hayo,nayo ni mabustani yapitayo mito kati yao, na atakujaalia majumba ya fakhari. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ni kubwa mno baraka za Mwenyezi Mungu, na ni mengi sana mema Yake, Ambaye Akitaka Atakufanyia mema zaidi kuliko yale waliotamani uwe nayo, Angalikufanyia, ulimwenguni, mashamba mengi ambayo kati yake inapita mito, na Akufanye uwe na majumba makubwa ya fahari.
Ni kubwa mno baraka za Mwenyezi Mungu, na ni mengi sana mema Yake, Ambaye Akitaka Atakufanyia mema zaidi kuliko yale waliotamani uwe nayo, Angalikufan…