Al-Furqan 25:11 بل كذبوا بالساعة واعتدنا لمن كذب بالساعة سعيرا ١١
بَلۡ
كَذَّبُواْ
بِٱلسَّاعَةِۖ
وَأَعۡتَدۡنَا
لِمَن
كَذَّبَ
بِٱلسَّاعَةِ
سَعِيرًا
١١
Bali wanaikanusha Saa (ya Kiyama). Na Sisi tumemuandalia Moto mkali kabisa huyo mwenye kuikanusha Saa 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na hawakukanusha, kwa kuwa unakula chakula na unaenda sokoni, lakini wameikanusha Siku ya Kiyama na malipo yake yaliyoko. Na tumewatayarishia waliokikanusha Kiyama Moto mkali, watachomwa nao.
Na hawakukanusha, kwa kuwa unakula chakula na unaenda sokoni, lakini wameikanusha Siku ya Kiyama na malipo yake yaliyoko. Na tumewatayarishia waliokik…