Al-Furqan 25:5 وقالوا اساطير الاولين اكتتبها فهي تملى عليه بكرة واصيلا ٥
وَقَالُوٓاْ
أَسَٰطِيرُ
ٱلۡأَوَّلِينَ
ٱكۡتَتَبَهَا
فَهِيَ
تُمۡلَىٰ
عَلَيۡهِ
بُكۡرَةٗ
وَأَصِيلٗا
٥
Na wakasema: Hivi ni visa vya watu wa kale alivyo viandikisha, anavyo somewa asubuhi na jioni. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na walisema kuhusu Qur’ani, «Hiyo ni hadithi za wakale katika vitabu vyao, na Muhammad amezinakili. Basi hizo anasomewa asubuhi na jioni,»