Al-Furqan 25:51 ولو شينا لبعثنا في كل قرية نذيرا ٥١
وَلَوۡ
شِئۡنَا
لَبَعَثۡنَا
فِي
كُلِّ
قَرۡيَةٖ
نَّذِيرٗا
٥١
Na tungeli taka tungeli peleka katika kila mji Mwonyaji. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na lau tungalitaka tungalimpeleka muonyaji katika kila mji, wa kuwalingania wao kwa Mwenyezi Mungu, Aliyeshinda na kutukuka, na kuwaonya wao adhabu Yake. Lakini tumekufanya wewe, ewe Mtume, ni mwenye kupelekwa kwa watu wote wa ardhini, na tumekuamrisha wewe uwafikishie hii Qur’ani.
Na lau tungalitaka tungalimpeleka muonyaji katika kila mji, wa kuwalingania wao kwa Mwenyezi Mungu, Aliyeshinda na kutukuka, na kuwaonya wao adhabu Ya…