Al-Furqan 25:69 يضاعف له العذاب يوم القيامة ويخلد فيه مهانا ٦٩
يُضَٰعَفۡ
لَهُ
ٱلۡعَذَابُ
يَوۡمَ
ٱلۡقِيَٰمَةِ
وَيَخۡلُدۡ
فِيهِۦ
مُهَانًا
٦٩
Atazidishiwa adhabu Siku ya Kiyama, na atadumu humo kwa kufedheheka. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Ataongezewa adhabu maradufu Siku ya Kiyama na ataketi milele akiwa mdhalilifu mnyonge. Onyo la kukaa milele ni kwa wale wanaoyafanya yote hayo au ni kwa yule aliyemshirikisha Mwenyezi Mungu.
Ataongezewa adhabu maradufu Siku ya Kiyama na ataketi milele akiwa mdhalilifu mnyonge. Onyo la kukaa milele ni kwa wale wanaoyafanya yote hayo au ni k…