Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Hajj 22:22

22:22
كلما ارادوا ان يخرجوا منها من غم اعيدوا فيها وذوقوا عذاب الحريق ٢٢
كُلَّمَآ أَرَادُوٓا۟ أَن يَخْرُجُوا۟ مِنْهَا مِنْ غَمٍّ أُعِيدُوا۟ فِيهَا وَذُوقُوا۟ عَذَابَ ٱلْحَرِيقِ ٢٢
كُلَّمَآ
أَرَادُوٓاْ
أَن
يَخۡرُجُواْ
مِنۡهَا
مِنۡ
غَمٍّ
أُعِيدُواْ
فِيهَا
وَذُوقُواْ
عَذَابَ
ٱلۡحَرِيقِ
٢٢
Kila wakitaka kutoka humo kwa sababu ya uchungu watarudishwa humo humo, na wataambiwa: Onjeni adhabu ya kuungua! 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na kila wakijaribu kutoka Motoni, kwa sababu ya makero na mateso walionayo, watarudishwa adhabuni na wataambiwa, «Onjeni adhabu ya Moto unaochoma.»