Al-Hajj 22:42 وان يكذبوك فقد كذبت قبلهم قوم نوح وعاد وثمود ٤٢
وَإِن
يُكَذِّبُوكَ
فَقَدۡ
كَذَّبَتۡ
قَبۡلَهُمۡ
قَوۡمُ
نُوحٖ
وَعَادٞ
وَثَمُودُ
٤٢
Na wakikukanusha basi walikwisha kanusha kabla yao watu wa Nuhu, na kina A'ad na kina Thamud, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wakikukanusha watu wako, ewe Mtume, basi wamewatangulia wao katika kukanusha Mitume wao watu wa Nūḥ,' Ād, Thamūd