Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Hajj 22:48

22:48
وكاين من قرية امليت لها وهي ظالمة ثم اخذتها والي المصير ٤٨
وَكَأَيِّن مِّن قَرْيَةٍ أَمْلَيْتُ لَهَا وَهِىَ ظَالِمَةٌۭ ثُمَّ أَخَذْتُهَا وَإِلَىَّ ٱلْمَصِيرُ ٤٨
وَكَأَيِّن
مِّن
قَرۡيَةٍ
أَمۡلَيۡتُ
لَهَا
وَهِيَ
ظَالِمَةٞ
ثُمَّ
أَخَذۡتُهَا
وَإِلَيَّ
ٱلۡمَصِيرُ
٤٨
Na miji mingapi niliipa muda na hali ilikuwa imedhulumu, na kisha nikaitia mkononi? Na kwangu Mimi ndio marudio yote. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Kuna miji mingi ilikuwa kwenye udhalimu, kwa ukakamavu wa watu wake juu ya ukafiri, nikawapa muda , na sikuwaharakishia adhabu na kwa hivyo wakaghurika, kisha nikawachukuwa kwa kuwaadhibu katika hii dunia, na ni kwangu ndio marejeo yao baada ya kuangamia kwao nitawapa adhabu wanayostahili