Al-Hajj 22:51 والذين سعوا في اياتنا معاجزين اولايك اصحاب الجحيم ٥١
وَٱلَّذِينَ
سَعَوۡاْ
فِيٓ
ءَايَٰتِنَا
مُعَٰجِزِينَ
أُوْلَٰٓئِكَ
أَصۡحَٰبُ
ٱلۡجَحِيمِ
٥١
Na wanao jitahidi kuzipinga Aya zetu hao ndio watu wa Motoni. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wale wenye kujitahidi kufanya vitimbi ili kuzitangua aya za Qur’ani kwa kuzikanusha hali ya kuwa ni watesi na washindani, basi hao ndio watu wa Moto wenye kuwaka, wataungia na watasalia humo milele.»
Na wale wenye kujitahidi kufanya vitimbi ili kuzitangua aya za Qur’ani kwa kuzikanusha hali ya kuwa ni watesi na washindani, basi hao ndio watu wa Mot…