Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Hajj 22:55

22:55
ولا يزال الذين كفروا في مرية منه حتى تاتيهم الساعة بغتة او ياتيهم عذاب يوم عقيم ٥٥
وَلَا يَزَالُ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ فِى مِرْيَةٍۢ مِّنْهُ حَتَّىٰ تَأْتِيَهُمُ ٱلسَّاعَةُ بَغْتَةً أَوْ يَأْتِيَهُمْ عَذَابُ يَوْمٍ عَقِيمٍ ٥٥
وَلَا
يَزَالُ
ٱلَّذِينَ
كَفَرُواْ
فِي
مِرۡيَةٖ
مِّنۡهُ
حَتَّىٰ
تَأۡتِيَهُمُ
ٱلسَّاعَةُ
بَغۡتَةً
أَوۡ
يَأۡتِيَهُمۡ
عَذَابُ
يَوۡمٍ
عَقِيمٍ
٥٥
Na walio kufuru hawatoacha kuwa katika wasiwasi kwa hilo mpaka Saa iwafikie ghafla, au iwafikie adhabu ya Siku Tasa. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Na hawataacha makafiri wenye kukanusha kuendelea kuwa kwenye shaka juu ya Qur’ani uliokuja nayo mpaka Kiyama kiwajie kwa ghafula na hali wao wako juu ya ukanushaji wao, au iwajie wao adhabu ya Siku isiyokuwa na wema ndani yake, nayo ni Siku ya kiyama.