Al-Hajj 22:59 ليدخلنهم مدخلا يرضونه وان الله لعليم حليم ٥٩
لَيُدۡخِلَنَّهُم
مُّدۡخَلٗا
يَرۡضَوۡنَهُۥۚ
وَإِنَّ
ٱللَّهَ
لَعَلِيمٌ
حَلِيمٞ
٥٩
BIla ya shaka atawaingiza pahala watakapo paridhia. Na hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi na Mpole. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Atawatia Mola wao tena Atawatia mahali pa kuingia ambapo watapapenda, napo ni Peponi. Na kwa hakika Mwenyezi Mungu Anamjua sana yule anayetoka katika njia Yake na mwenye kutoka kwa ajili ya ulimwengu, ni Mpole kwa wale waliomuasi hawafanyii haraka kuwatesa.
Atawatia Mola wao tena Atawatia mahali pa kuingia ambapo watapapenda, napo ni Peponi. Na kwa hakika Mwenyezi Mungu Anamjua sana yule anayetoka katika …