Al-Hajj 22:68 وان جادلوك فقل الله اعلم بما تعملون ٦٨
وَإِن
جَٰدَلُوكَ
فَقُلِ
ٱللَّهُ
أَعۡلَمُ
بِمَا
تَعۡمَلُونَ
٦٨
Na wakikujadili basi sema: Mwenyezi Mungu anajua zaidi mnayo yatenda. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na wakishikilia kujadiliana na wewe kwa njia ya ubatilifu kuhusu yale unayowalingania nayo, usijadiliane na wao, bali waambie, «Mwenyezi Mungu ni mjuzi zaidi wa mnayoyafanya ya ukafiri na kukanusha,» kwani wao wanafanya inadi na kiburi.
Na wakishikilia kujadiliana na wewe kwa njia ya ubatilifu kuhusu yale unayowalingania nayo, usijadiliane na wao, bali waambie, «Mwenyezi Mungu ni mjuz…