Al-Hajj 22:77 يا ايها الذين امنوا اركعوا واسجدوا واعبدوا ربكم وافعلوا الخير لعلكم تفلحون ۩ ٧٧
يَٰٓأَيُّهَا
ٱلَّذِينَ
ءَامَنُواْ
ٱرۡكَعُواْ
وَٱسۡجُدُواْۤ
وَٱعۡبُدُواْ
رَبَّكُمۡ
وَٱفۡعَلُواْ
ٱلۡخَيۡرَ
لَعَلَّكُمۡ
تُفۡلِحُونَ ۩
٧٧
Enyi mlio amini! Rukuuni na msujudu, na muabuduni Mola wenu Mlezi, na tendeni mema, ili mfanikiwe. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Enyi mliomuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, rukuuni na sujuduni katika Swala zenu na muabuduni Mola wenu, Peke Yake, Asiye na mshirika, na fanyeni wema ili mufuzu,
Enyi mliomuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, rukuuni na sujuduni katika Swala zenu na muabudun…