Al-Haqqah 69:14 وحملت الارض والجبال فدكتا دكة واحدة ١٤
وَحُمِلَتِ
ٱلۡأَرۡضُ
وَٱلۡجِبَالُ
فَدُكَّتَا
دَكَّةٗ
وَٰحِدَةٗ
١٤
Na ardhi na milima ikaondolewa, na ikavunjwa kwa mvunjo mmoja, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na pindi ardhi na milima itakapoinuliwa kutoka mahali ilipo ikavunjwavunjwa na kugongwagongwa mara moja,