Al-Haqqah 69:33 انه كان لا يومن بالله العظيم ٣٣
إِنَّهُۥ
كَانَ
لَا
يُؤۡمِنُ
بِٱللَّهِ
ٱلۡعَظِيمِ
٣٣
Kwani huyo hakika alikuwa hamuamini Mwenyezi Mungu Mtukufu, 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kwani yeye hakuwa akiamini kuwa Mwenyezi Mungu Ndiye Mola wa Haki, Peke Yake, Asiye na mshirika.