Al-Haqqah 69:36 ولا طعام الا من غسلين ٣٦
وَلَا
طَعَامٌ
إِلَّا
مِنۡ
غِسۡلِينٖ
٣٦
Wala hana chakula ila usaha wa watu wa Motoni. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
wala hatakuwa na chakula isipokuwa kile kinachotokana na usaa wa watu wa motoni,