Al-Haqqah 69:50 وانه لحسرة على الكافرين ٥٠
وَإِنَّهُۥ
لَحَسۡرَةٌ
عَلَى
ٱلۡكَٰفِرِينَ
٥٠
Na hakika bila ya shaka itakuwa ni majuto kwa wanao kataa. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na kwa hakika kuikanusha Qur’ani ni majuto makubwa kwa wenye kuikanusha pindi watakapoiona adhabu yao na kuona starehe za wenye kuiamini.