Ingia
Ingia
Ingia
Chagua Lugha

Tafsir: Al-Hashr 59:20

59:20
لا يستوي اصحاب النار واصحاب الجنة اصحاب الجنة هم الفايزون ٢٠
لَا يَسْتَوِىٓ أَصْحَـٰبُ ٱلنَّارِ وَأَصْحَـٰبُ ٱلْجَنَّةِ ۚ أَصْحَـٰبُ ٱلْجَنَّةِ هُمُ ٱلْفَآئِزُونَ ٢٠
لَا
يَسۡتَوِيٓ
أَصۡحَٰبُ
ٱلنَّارِ
وَأَصۡحَٰبُ
ٱلۡجَنَّةِۚ
أَصۡحَٰبُ
ٱلۡجَنَّةِ
هُمُ
ٱلۡفَآئِزُونَ
٢٠
Hawawi sawa watu wa Motoni na watu wa Peponi. Watu wa Peponi ndio wenye kufuzu. 1
Tafsir
Tabaka
Mafunzo
Tafakari
Majibu
Qiraat
Hadith
Hawalingani sawa, watu wa Motoni wanaoadhibiwa na watu wa Peponi wanaostareheshwa. Watu wa Peponi ndio wenye kupata kila kinachotakiwa, ndio wenye kuokoka na kila kinachochukiwa.