Al-Hijr 15:12 كذالك نسلكه في قلوب المجرمين ١٢
كَذَٰلِكَ
نَسۡلُكُهُۥ
فِي
قُلُوبِ
ٱلۡمُجۡرِمِينَ
١٢
Na kama hivi ndivyo tunavyo ingiza katika nyoyo za wakosefu. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Kama tulivyoutia ukafiri kwenye nyoyo za ummah waliotangulia kwa sababu ya kuwafanyia shere Mitume na kuwakanusha, hivyo ndivyo tunavyofanya kwenye nyoyo za washirikina miongoni mwa watu wako waliofanya uhalifu wa kumkanusha Mwenyezi Mungu na kuwakanusha Mitume Wake;
Kama tulivyoutia ukafiri kwenye nyoyo za ummah waliotangulia kwa sababu ya kuwafanyia shere Mitume na kuwakanusha, hivyo ndivyo tunavyofanya kwenye ny…