Al-Hijr 15:37 قال فانك من المنظرين ٣٧
قَالَ
فَإِنَّكَ
مِنَ
ٱلۡمُنظَرِينَ
٣٧
(Mwenyezi Mungu) akasema: Hakika wewe ni katika walio pewa muhula 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Mwenyezi Mungu Akamwambia, «Wewe ni miongoni mwa wale niliowapa muda na kuchelewesha kuwaangamiza mpaka siku ambayo viumbe wote watakufa baada ya Mpulizo wa kwanza,
Mwenyezi Mungu Akamwambia, «Wewe ni miongoni mwa wale niliowapa muda na kuchelewesha kuwaangamiza mpaka siku ambayo viumbe wote watakufa baada ya Mpul…